• HABARI MPYA

  Wednesday, January 17, 2018

  ARSENAL YAMUUZA WALCOTT EVERTON KWA PAUNI MILIONI 25

  Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akiwa amevaa jezi ya Everton baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 25 kutoka Arsenal ambao atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 110,000 kwa wiki katika miaka mitatu na nusu ya mkataba aliosaini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAMUUZA WALCOTT EVERTON KWA PAUNI MILIONI 25 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top