• HABARI MPYA

    Thursday, January 11, 2018

    ARSENAL YAIKAZIA CHELSEA DARAJANI, SARE 0-0 KOMBE LA LIGI

    Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akibunika tik tak katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kwanza ya Kombe la Ligi England, maarufu kamaCarabao Cup usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya wenyeji, Chelsea uliomalizika kwa sare ya 0-0. Timu hizo zitarudiana Januari 24 Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAIKAZIA CHELSEA DARAJANI, SARE 0-0 KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top