• HABARI MPYA

    Tuesday, January 16, 2018

    ARDA TURAN ATUA BASAKSEHIR ISTANBUL KWA MKOPO

    Arda Turan akikabidhiwa jezi ya Basaksehir Istanbul ya Uturuki baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miaka miwili na nusu kutoka Barcelona ya Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARDA TURAN ATUA BASAKSEHIR ISTANBUL KWA MKOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top