• HABARI MPYA

  Friday, December 08, 2017

  ZBC YALETA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP YA WATOTO

  Mtayarishaji wa vipindi vya michezo katika Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Khamis Mohammed ‘Mo 6’,  akiendesha droo ya timu zitakazoshiriki michuano ‘ZBC Watoto Mapinduzi Cup’ katika studio za ZBC TV leo Disemba 8, 2017. Kushoto ni mtangazaji Sadik a.k.a. DJ Flash. PICHA ZOTE NA SALUM VUAI, MAELEZO-ZANZIBAR.  


  Mmoja wa viongozi wa timu za wilaya zitakazoshiriki mashindano ya ‘ZBC Watoto Mapinduzi Cup’, akipokea fedha za maandalizi kutoka kwa Mkurugenzi wa ZBC Bi. Ayamna Duwe.


  Mkurugenzi wa ZBC Bi. Ayman Duwe akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wawakilishi wa timu za soka wilaya za Unguja katika uzinduzi wa maandalizi ya michuano ya ‘ZBC Watoto Mapinduzi Cup’ 2018 uliofanyika leo Disemba 8, 2017 katika studio za ZBC TV mjini Zanzibar. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya michuano hiyo Mzee Yunus.

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZBC YALETA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP YA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top