• HABARI MPYA

  Wednesday, December 06, 2017

  TOLISSO AFUNGA MAWILI BAYERYN MUNICH YAISHINDILIA 3-1 PSG

  Corentin Tolisso akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bayern Munich dakika za 37 na 69 usiku wa jana katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Robert Lewansdowsk alifunga la kwanza dakika ya nane, wakati bao pekee la PSG lilifungwa na chipukizi Kylian Mbappe dakika ya 50 na kwa matokeo hayo, timu zote zinamaliza na pointi 15 hivyo kutinga pamoja hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOLISSO AFUNGA MAWILI BAYERYN MUNICH YAISHINDILIA 3-1 PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top