• HABARI MPYA

    Sunday, December 03, 2017

    STARS YA MAFUNDI WATUPU TAYARI KWA KAZI 1995 NDANI YA ADDIS ABABA

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa Uwanja wa Taifa wa Addis Ababa nchini Ethiopia kabla ya mchezo na wenyeji Januari mwaka 1995. Kutoka kushoto Hussein Marsha, Mustapha Hoza, Said Mwamba (marehemu), Mtwa Kihwelo, Joseph Katuba (kwa nyuma, marehemu), Nico Bambaga (marehemu), Clement Kahbuka (kwa nyuma), Madaraka Suleiman, Juma Amir Maftah, Sekilojo Chambua, George Masatu, Edibily Lunyamila, Alphonce Modest, Deo Mkuki na Nteze John
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS YA MAFUNDI WATUPU TAYARI KWA KAZI 1995 NDANI YA ADDIS ABABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top