• HABARI MPYA

  Tuesday, December 12, 2017

  STARS WALIVYOREJEA LEO DAR KUTOKA KWENYE CHALLENGE

  Wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo asubuhi kutokea Kenya ambako walikwenda kushiriki michuano ya CECAFA Challenge. Bara ilifungwa mechi zote 2-1 mara mbili na Zanzibar na Rwanda na 1-0 na Kenya baada ya kutoa sare ya 0-0 na Libya kwenye mechi ya kwanza, ambayo wapinzani wao kutoka Kaskazini mwa Afrika walinyimwa bao zuri.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STARS WALIVYOREJEA LEO DAR KUTOKA KWENYE CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top