• HABARI MPYA

    Monday, December 04, 2017

    STARS NA LIBYA KATIKA PICHA JANA MACHAKOS

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbaraka Yusuph akimiliki mpira mbele ya beki wa Libya, Aljamal Tariq wa Kundi A Kombe la CECAFA Chalenge jana Uwanja wa Kenyatta mjini Machakos, Kenya timu hizo zikitioka sare ya 0-0  
    Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguli akipambana na beki wa Libya, Maetoyq Saed jana
    Nahodha wa Kilimanjaro Stars jana, Erasto Nyoni akiondoka na mpira kujaribu kuwapita wachezaji wa Libya 
    Wachezaji wa Tanzania na Libya kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Kenyatta
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS NA LIBYA KATIKA PICHA JANA MACHAKOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top