• HABARI MPYA

    Thursday, December 14, 2017

    SPURS YAWACHAPA 2-0 BRIGHTON & HOVE ALBION WEMBLEY

    Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 87 ikiilaza 2-0 Brighton & Hove Albion usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza lilifungwa na Serge Aurier dakika ya Serge Aurier dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YAWACHAPA 2-0 BRIGHTON & HOVE ALBION WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top