• HABARI MPYA

  Thursday, December 07, 2017

  SPURS YAMALIZA NA USHINDI WA 3-0 HATUA YA MAKUNDI ULAYA

  Georges-Kevin Nkoudou (kulia) akipongezwa na Dele Alli baada ya Mfaransa huyo kuifungia Tottenham bao la tatu dakika ya 80 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya APOEL Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley Jijini London. Mabao mengine yalifungwa na Fernando Llorente dakika ya 20 na Son Heung-min dakika ya 37 na Spurs inafuzu hatua ya 16 Bora kama mshindi wa Kundi H kwa kukufikisha pointi 16 ikifuatiwa na Real Madrid iliyomaliza na pointi 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAMALIZA NA USHINDI WA 3-0 HATUA YA MAKUNDI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top