• HABARI MPYA

  Wednesday, December 13, 2017

  SIMBA WALIVYOSHIRIKI MSIBA WA MTOTO WA MO IBRAHIM LEO MBAGALA

  Wachezaji na baadhi ya Maofisa wa benchi la ufundi wa Simba SC wakimfariji mchezaji mwenzao, Mohammed Ibrahim 'MO' baada ya mazishi mwanawe mdogo leo asubuhi nyumbani kwao, Mbagala mjini Dar es Salaam. Mtoto huyo alifariki jana katika hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOSHIRIKI MSIBA WA MTOTO WA MO IBRAHIM LEO MBAGALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top