• HABARI MPYA

    Tuesday, December 05, 2017

    SI ELDRICK TONT 'TIGER' WOODS, NI NAPE MOSES NNAUYE...

    Mbunge wa jimbo la Mtama na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye ameposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akicheza gofu
    Nape Nnauye akiwa kwenye miondoko ya gofu na kofia yake mithili ya gwiji wa mchezo huo, Eldrick Tont 'Tiger' Woods
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SI ELDRICK TONT 'TIGER' WOODS, NI NAPE MOSES NNAUYE... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top