• HABARI MPYA

    Thursday, December 14, 2017

    ROONEY AIFUNGIA BAO PEKEE EVERTON YAIPIGA 1-0 NEWCASTLE

    Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Everton dakika ya 27 ikiwabwaga wenyeji, Newcastle United 1-0 Uwanja wa St James' Park usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England huo ukiwa mwendelezo wa wimbi la ushindi chini ya kocha mpya, Sam Allardyce PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AIFUNGIA BAO PEKEE EVERTON YAIPIGA 1-0 NEWCASTLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top