Mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo akiifungia bao la kusawazisha Real Madrid dakika ya 53, kufuatia Romarinho kutangulia kuifungia Al Jazira dakika ya 41 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA usiku wa jana Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi, Falme za Kiarabu (UAE). Gareth Bale aliifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 huku Ronaldo akivunja rekodi ya mabao kwenye michuano hiyo kihistoria baada ya kufikisha mabao sita, sasa akiwazidi Lionel Messi, Luis Suerez wote wa Barcelona wenye mabao matano kila mmoja sawa na Cesar Delgado wa Monterrey ya Mexico PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL Draft 2024: Round 1 Grades for Every Pick
-
The excitement for the 2024 NFL draft is palpable. It's not just fans,
whose hope for every draft pick knows no bounds. Even those within the
league are…
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment