• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2017

  RONALDO 'AKIJIFUA' KUELEKEA MECHI NA DORTMUND KESHO

  Cristiano Ronaldo akiruka juu wakati wa mazoezi ya Real Madrid kujiandaa na mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya Borussia Dortmund Uwanja wa Santiago Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO 'AKIJIFUA' KUELEKEA MECHI NA DORTMUND KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top