• HABARI MPYA

  Saturday, December 09, 2017

  RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID IKISHINDA 5-0 LA LIGA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 23 akimalizia pasi ya Marco Asensio na 31 kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga na kufikisha mabao 18 jumla msimu wa 2017-2018. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Nacho Fernandez dakika ya tatu and Toni Kroos dakika ya 38 na kinda wa miaka 19 Achraf Hakimi dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID IKISHINDA 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top