• HABARI MPYA

    Saturday, December 09, 2017

    REAL WALIVYOINGIA KAMBINI JANA KUJIANDAA NA SEVILLA

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akionyesha ya dole gumba kuashiria mambo safi wakati kikosi cha Zinedine Zidane kinateremka kwenye basi kuingia kambini hotelini jana kujiandaa na mchezo wa La Loga dhidi ya Sevilla leo Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL WALIVYOINGIA KAMBINI JANA KUJIANDAA NA SEVILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top