• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2017

  RAUNDI YA TATU FA ENGLAND; LIVERPOOL NA EVERTON

  RATIBA  ya raundi ya tatu ya Kombe la FA imetoka na gumzo kubwa ni mechi ya mahasimu wa Merseyside baina ya Liverpool na Everton.
  Arsenal watamenyana na Nottingham Forrest wakati kocha Mreno, Jose Mourinho wa Manchester United atawakaribisha Derby County Uwanja wa Old Trafford, Tottenham Hotspur na AFC Wimbledon, Manchester City na Burnley na Norwich City dhidi ya Chelsea.
  Wapinzani wa The Stanley Park watakutana Uwanja wa Anfield Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England ambao watakutana tena wikiendi ya kwanza ya Januari.
  Mara ya mwisho walipangwa katika hatua hii mwaka 1932 na Liverpool ikashinda 2-1 Uwanja wa Goodison Park.
  Hivi karibuni walikutana kwenye Nusu Fainali mwaka 2012 wakati mabao ya kipindi cha pili ya Luis Suarez na Andy Carroll yalipoipa Liverpool ushindi wa 2-1 wakitoka nyuma kwa bao 1-0 la Nikica Jelavic.

  Ratiba ya raundi ya tatu ya Kombe la FA imetoka na kubwa ni mechi ya mahasimu wa Merseyside baina ya Liverpool na Everton PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

  RATIBA RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA ENGLAND
  Ipswich Town v Sheffield United
  Watford v Bristol City
  Birmingham City v Burton Albion
  Liverpool v Everton
  Brighton & Hove Albion v Crystal Palace
  Aston Villa v Woking or Peterborough United
  Bournemouth v AFC Fylde or Wigan
  Coventry City v Stoke City
  Newport County v Leeds United
  Bolton Wanderers v Huddersfield Town
  Port Vale v Bradford City
  Nottingham Forest v Arsenal
  Brentford v Notts County
  Queens Park Rangers v MK Dons
  Manchester United v Derby County
  Forest Green Rovers or Exeter City v West Bromwich Albion
  Doncaster Rovers v Rochdale
  Tottenham Hotspur v AFC Wimbledon
  Middlesbrough v Sunderland
  Fleetwood or Hereford v Leicester City
  Blackburn Rovers or Crewe Alexandra v Hull City
  Cardiff City v Mansfield Town
  Manchester City v Burnley
  Shrewsbury Town v West Ham United
  Wolverhampton Wanderers v Swansea City
  Stevenage v Reading
  Newcastle United v Luton Town
  Millwall v Barnsley
  Fulham v Southampton
  Wycombe Wanderers v Preston North End
  Norwich City v Chelsea
  Gillingham or Carlisle United v Sheffield Wednesday
  Mechi zitachezwa katia ya Januari 5 na 7 mwaka 2018.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAUNDI YA TATU FA ENGLAND; LIVERPOOL NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top