• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2017

  POGBA ALIVYO TAYARI KUMALIZIA HASIRA ZAKE KWA CSKA MOSCOW

  Paul Pogba akifanya mazoezi jana mchana wakati Manchester United ikijiandaa na mchezo wake wa mwisho wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya CSKA Moscow leo usiku Uwanja wa Old Trafford. United inahitaji sare tu kuingia 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA ALIVYO TAYARI KUMALIZIA HASIRA ZAKE KWA CSKA MOSCOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top