• HABARI MPYA

  Saturday, December 09, 2017

  MWILI WA DK BENDERA ULIVYOSAFIRISHWA LEO KWA MAZISHI KOROGWE

  Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Dk. Joel Nkaya Bendera leo nyumbani kwake, Sinza Mori mjini Dar es Salaam kulipeleka kwenye gari tayari kwa safari ya Korogwe kwa mazishi kesho   
  Bendera alifariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mjini Dar es Salaam
  Waombolezaji mbalimbali wakishuhudia shughuli za kuuga mwili wa marehemu leo
  Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenfa akisaini kitabu cha kumbukumbu msibani. Tenga alikuwa mchezaji wa kocha Bendera kwenye kikosi cha Taifa Stars mwaka 1980 kwenye Fainali za kombe la Mataifa ya Afrika nchini Nigeria
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWILI WA DK BENDERA ULIVYOSAFIRISHWA LEO KWA MAZISHI KOROGWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top