• HABARI MPYA

    Wednesday, December 06, 2017

    MAN UNITED YAENDA 16 BORA LIGIYA MABINGWA KIBABE

    Mshambuliaji chipukizi Marcus Rashford (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 66 ikiilaza 2-1 CSKA Moscow usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. CSKA walitangulia kwa bao la Vitinho dakika ya 45 kabla ya Romelu Lukaku kuisawazishia Man United dakika ya 64 na hivyo kukamilisha mechi za kundi hilo kileleni kwa pointi zake 15, mbele ya FC Basle yenye pointi 12 na zote zinafuzu 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAENDA 16 BORA LIGIYA MABINGWA KIBABE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top