• HABARI MPYA

    Saturday, December 02, 2017

    MAN UNITED PUNGUFU YAISHINDILIA ARSENAL 3-1 EMIRATES

    Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 11 na 63 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Man United iliyomaliza pungufu baada ya kiungo wake, Paul Pogba kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 74 kwa kumchezea tafu Hector Bellerin, lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 49 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED PUNGUFU YAISHINDILIA ARSENAL 3-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top