• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2017

  MAN CITY YAVUNJA REKODI YA USHINDI LIGI KUU ENGLAND

  Kiungo David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 27 na 52 ikiwalaza wenyeji, Swansea City mabao 4-0 Uwanja wa Liberty usiku wa jana, huo ushindi wa 15 mfululizo na wa rekodi katika Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola yalifungwa na KevIn De Bruyne dakika ya 34 na Sergio Aguero dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAVUNJA REKODI YA USHINDI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top