• HABARI MPYA

  Sunday, December 03, 2017

  MAN CITY HATARI TUPU, YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO

  David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 83 ikiilaza 2-1 West Ham United Jumapili Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. West Ham walitangulia kwa bao la Angelo Ogbonna dakika ya 44, kabla ya Nicolas Otamendi kuisawazishia Man City dakika ya 57 ikishinda mechi ya 13 mfululizo msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY HATARI TUPU, YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top