Romelu Lukaku (wa pili kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake, baada ya kuifungia Manchester United bao pekee la ushindi dakika ya 25 ikiilaza 1-0 AFC Bournemouth usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment