• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2017

  LIVERPOOL YAKATALIWA BAO, YAAMBULIA SARE 0-0 NA WEST BROM ANFIELD

  Dominic Solanke akikimbia kushangilia baada ya kufunga dakika za mwishoni dhidi ya West Bromwich Albion bao ambalo hata hivyo lilikataliwa kwa sababu aliushika mpira kabla ya kufunga na timu hizo zikatoka sare ya 0-0 kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAKATALIWA BAO, YAAMBULIA SARE 0-0 NA WEST BROM ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top