• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2017

  LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA SOUTHAMPTON 4-1

  Riyad Mahrez (kushoto) akifumua shuti kumtungua kipa Fraser Forster kuifungia bao la kwanza Leicester City dakika ya 11 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa jana Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Shinji Okazaki mawili dakika za 32 na 69 na Andy King dakika ya 38, wakati la Southampton lilifungwa na Maya Yoshida dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA SOUTHAMPTON 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top