• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2017

  KILIMANJARO STARS MAZOEZINI LEO MACHAKOS KUJIANDAA KUWAVAA WAKALI WA ZENJI

  Kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajib (kushoto) na makipa Aishi Manula (katikati) na Peter Mnyika (kulia) wakiruka juu wakati wa mazoezi  ya timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars Uwanja wa akademi ya Machakos nchini Kenya kujiandaa na mchezo wa Kundi A Kombe la CECAFA Challenge keshokutwa dhidi ya Zanzibar

  Beki Boniface Maganga (kushoto) akimkabili Amani Kyata (katika) huku Yohanna Nkomola akiwa tayari kutoa msaada katika mazoezi  ya timu ya Kilimanjaro Stars  

  Mshambuliaji Elias Maguli (kushoto) akipiga hesabu za kumtoka kiungo Jonas Mkude mazoezini leo asubuhi

  Beki Nelson Juma (kulia) akiondoka na mpira dhidi ya Shiza Kichuya (katikati) na Kelvin Yondani (kushoto)  

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO STARS MAZOEZINI LEO MACHAKOS KUJIANDAA KUWAVAA WAKALI WA ZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top