• HABARI MPYA

    Sunday, December 10, 2017

    ARSENAL YANUSURIKA KIPIGO ST MARY'S, SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON

    'Super-sub' Oliver Giroud akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 88 katika sare ya 1-1 na Southampton Uwanja wa St Mary's leo, kufuatia Charlie Austin kuwafungia bao la kuongoza wenyeji dakika ya tatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YANUSURIKA KIPIGO ST MARY'S, SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top