• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2017

  DAMU YAMWAGIKA MECHI YA MAHASIMU WA BELGRADE, MASHABIKI WATWANGANA

  Mashabiki timu za Partizan na Red Star wakiwa vifua wazi wanavuja damu usiku wa jana Uwanja wa Partizana kwenye mechi ya ya Ligi Kuu ya Serbia baina ya mahasimu wa Jiji la Belgrade iliyomalizika kwa sare ya 1-1. Chanzo cha vurugu hizo ni mashabiki wageni kuuziwa tiketi za kwenda kuketi kwenye majukwaa ya wenyeji na ndipo wakaanza kupigana hadi Polisi kuingilia, huku watu wengi wakijeruhiwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAMU YAMWAGIKA MECHI YA MAHASIMU WA BELGRADE, MASHABIKI WATWANGANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top