• HABARI MPYA

  Thursday, December 07, 2017

  COUTNHO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 7-0 NA KUFUZU 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Nahodha wa Liverpool katika mchezo wa jana, Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga matatu dakika za nne kwa penalti, 15 na 50 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Spartak Moscow usiku wa jana Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 18, Sadio Mane dakika ya 47 na 76 na Mohamed Salah dakika ya 86 na kwa matokeo hayo Liverpool inamaliza na pointi 12 kileleni mwa Kundi E na kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa ikiungana na Sevilla yenye pointi tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COUTNHO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAUA 7-0 NA KUFUZU 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top