• HABARI MPYA

  Wednesday, December 13, 2017

  CHELSEA YAZINDUKA, YAISHINDILIA HUDDERSFIELD 3-1

  Willian (kushoto) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 43 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa The John Smith's West Yorkshire. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Tiemoue Bakayoko dakika ya 23 na Pedro dakika ya 50, wakati la Huddersfield Town lilifungwa na Laurent Depoitre dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZINDUKA, YAISHINDILIA HUDDERSFIELD 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top