• HABARI MPYA

  Wednesday, December 06, 2017

  CHELSEA YATOKA 1-1 NA ATLETICO, LAKINI YASONGA MBELE

  Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata akiugulia maumivu huku akienda chini baada ya kugongana na beki wa Atletico Madrid, Lucas usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London katika mchezo wa mwisho wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 1-1. Saul Niguez dakika ya 56 kabla ya Stefan Savic kujifunga kuipatia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 75 na kuiwezesha kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi hilo kwa kukufikisha pointi 11, hivyo kuungana na vinara Roma kwenda 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATOKA 1-1 NA ATLETICO, LAKINI YASONGA MBELE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top