• HABARI MPYA

    Wednesday, December 13, 2017

    BALE AIPELEKA REAL MADRID FAINALI KLABU BINGWA YA DUNIA

    Gareth Bale akishangilia baada ya kufungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 ikiichapa 2-1 Al-Jazira katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA leo Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi, Falme za Kiarabu. Romarinho alianza kuifungia Al-Jazira dakika ya 41, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Real dakika ya 53. Real sasa itakutana na Gremio ya Brazil katika fainali Desemba 16, mwaka huu Uwanja wa Zayed Sports City mjini Abu Dhabi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AIPELEKA REAL MADRID FAINALI KLABU BINGWA YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top