• HABARI MPYA

    Thursday, December 14, 2017

    ARSENAL YATOA SARE 0-0 NA WEST HAM UNITED LONDON

    Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akijaribu kumtoka Manuel Lanzini wa West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa jana Uwanja wa London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YATOA SARE 0-0 NA WEST HAM UNITED LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top