• HABARI MPYA

  Friday, December 08, 2017

  ARSENAL YAFANYA BALAA EUROPA LEAGUE, YASHINDA 6-0

  Olivier Giroud akipongezwa baada ya kuifungia Arsenal bao la tano dakika ya 64 kwa penalti katika ushindi wa 6-0 dhidi ya BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates. Mabao mengine yalifungwa na Mathieu Debuchy dakika ya 11, Theo Walcott dakika ya 37, Jack Wilshere dakika ya 43, Dzyanis Palyakow aliyejifunga dakika ya 51 na Mohamed Elneny dakika ya 74. Arsenal inamaliza kileleni mwa kundi kwa pointi zake 13, ikifuatiwa na Crvena Zvezda pointi tisa wakati FC Cologne ya Ujerumani imemaliza na pointi sita nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFANYA BALAA EUROPA LEAGUE, YASHINDA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top