• HABARI MPYA

    Wednesday, December 13, 2017

    AKINA MSUVA WAPIGWA 3-2 NA RAJA CASABLANCA LIGI YA MOROCCO


    Winga wa Difaa Hassan El -Jadida, Simon Msuva akifumua shuti mbele ya mabeki wa Raja Casablanca katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco usiku wa Jumanne Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan. Raja ilishinda 3-2
    Simon Msuva akipambana na kipa na mabeki wa Raja Casablanca katika mchezo huo
    Simon Msuva akipambana na kipa na mabeki wa Raja Casablanca usiku wa Jumanne 
    Simon Msuva (kulia) akiwa na kikosi cha Difaa Hassan El- Jadida kilichoanza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AKINA MSUVA WAPIGWA 3-2 NA RAJA CASABLANCA LIGI YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top