• HABARI MPYA

    Tuesday, November 21, 2017

    YANGA SC WAINGIZA SOKONI KALENDA YAO YA 2018

    Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akionyesha kalenda ya mwaka 2018 ya klabu hiyo ambayo iko tayari kwa mauzo. Yanga imeamua kutumia nembo yake kibiashara kwa kuuza bidhaa mbalimbali, ikiwemo jezi na kalenda.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAINGIZA SOKONI KALENDA YAO YA 2018 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top