• HABARI MPYA

    Monday, November 20, 2017

    YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UHURU

    Beki wa Mbeya City, Ramadhan Malima akiwa amemuangusha mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-0 
    Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin (kushoto) akimtoka beki wa Mbeya City jana
    Kiungo wa Mbeya City, Mohammed Samatta akimiliki mpira mbele ya Emmanuel Martin wa Yanga
    Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akipita na mpira kwa kasi dhidi ya mshambuliaji wa Mbeya City, Frank Ikobela 
    Kungo wa Mbeya City, Babu Ally (kushoto) akipambana na kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib jana
    Beki wa Yanga, Juma Abdul akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mbeya City, Hassan Mwasapili 
    Kocha Mzambia wa Yanga, George Lwandamina (kulia) akimpa maelekezo mchezaji wake, Ibrahim Ajib
    Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiupigia hesabu mpira mbele ya kiungo wa Mbeya City, Mohammed Samatta 
     Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Mbeya City katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top