• HABARI MPYA

    Friday, November 17, 2017

    YANGA MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA MBEYA CITY

    Kipa Mcameroon wa Yanga, Youthe Rostand akiokoa kwa ustadi wa hali ya juu wakati wa mazoezi ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili 
    Beki Hassan Kessy akivuta kasi kuuwahi mpira
    Daktari wa timu, Edward Bavu (katikati) akizungumza na wachezaji
    Kocha Msaidizi wa kwanza, Mzambia Noel Mwandila akizungumza na wachezaji
    Wachezaji wakikimbia Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top