• HABARI MPYA

  Tuesday, November 14, 2017

  WELBECK AREJEA MAZOEZINI ARSENAL IKIJIANDAA KUIVAA SPURS

  Nyota wa Arsenal, Danny Welbeck akiwa mazoezini na klabu yake leo viwanja vya Colney, London baada ya kurejea kufuatia kupona maumivu ya nyama za paja aliyoyapata mwezi uliopita katika mchezo dhidi ya Watford. Arsenal itamenyana na Tottenham Hotspur Jumamosi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WELBECK AREJEA MAZOEZINI ARSENAL IKIJIANDAA KUIVAA SPURS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top