• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    WELBECK ALIVYO FITI ARSENAL IKIIKARIBISHA SPURS LEO

    Mshambuliaji Danny Welbeck akimruka kipa Petr Cech anayedaka mpira chini wakati wa mazoezi ya Arsenal jana viwanja vya Colney, London wakijiandaa na mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WELBECK ALIVYO FITI ARSENAL IKIIKARIBISHA SPURS LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top