• HABARI MPYA

  Thursday, November 16, 2017

  VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA

  Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzaania Bara mwezi Oktoba. Tukio hilo limefanyika asubuhi ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mazoezi ya Yanga
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top