Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia kibabe baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 28 na 60 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Leganes kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Butarque, Leganes leo. Bao la tatu lilifungwa na Paulinho dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment