• HABARI MPYA

    Sunday, November 19, 2017

    SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE

    Kiungo wa Simba, Shiza Kichuya akipasua katikati ya mabeki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Simba ilishinda 1-0
    Shiza Kichuya akipambana na Lambert Sibiyanka wa Tanzania Prisons
    Lambert Sibiyanka wa Tanzania Prisons akimiliki mpira mbele ya Erasto Nyoni wa Simba
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimtoka Nurdin Chona wa Tanzania Prisons
    Kikosi cha Tanzania Prisons katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Simba SC katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top