• HABARI MPYA

  Sunday, November 12, 2017

  SIMBA SC ILIVYOTEMBEZA KICHAPO JANA SUMBAWANGA

  Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka beki wa Kaengesa FC katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Simba ilishinda 3-2 
  Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimtoka mchezaji wa Kaengesa FC
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akisalimiana na wachezaji wa Simba haba kabla ya mechi
  Mashabiki wakifuatilia mchezo huo jana Uwanja wa Mandela
  Kikosi cha Kaengesa jana Uwanja wa Mandela 
  Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Mandela
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOTEMBEZA KICHAPO JANA SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top