• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    SANCHEZ APIGA LA PILI ARSENAL YAILAZA 2-0 SPURS 2-0 EMIRATES

    Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 41 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la kwanza lilifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ APIGA LA PILI ARSENAL YAILAZA 2-0 SPURS 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top