• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    RONALDO ALIVYO TAYARI KWA MECHI YA MAHASIMU WA MADRID LEO

    Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akionekana mwenye kujiamini wakati wa mazoezi ya Real Madrid jana katika viwanja vyao vya mazoezi vya Valdebebas mjini Madrid, Hispania kujiandaa na mchezo wa leo wa La Liga dhidi ya Atletico Madrid Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ALIVYO TAYARI KWA MECHI YA MAHASIMU WA MADRID LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top