• HABARI MPYA

    Tuesday, November 21, 2017

    RONALDO ALIVYO FITI KIKAMILIFU KUIPIGANIA REAL MADRID LEO

    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wenzake wakati wa mazoezi ya Real Madrid jana Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia nchini Cyprus kujiandaa na mchezo wa leo Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, APOEL PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ALIVYO FITI KIKAMILIFU KUIPIGANIA REAL MADRID LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top