• HABARI MPYA

    Monday, November 20, 2017

    REAL MADRID WAFUATA POINTI TATU LIGI YA MABINGWA CYPRUS

    Cristiano Ronaldo akiwa na wachezaji wenzake, Marcelo na Casemiro wakati wakienda kupandea ndege kwa safari ya Nicosia nchini Cyprus kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, APOEL usiku wa kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID WAFUATA POINTI TATU LIGI YA MABINGWA CYPRUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top